SHINE POLISH JELLY – Saizi ya Kati (120mg)
Shine Polish Jelly ni aina ya jelly inayotumika kung’arisha viatu na bidhaa za ngozi ili ziwe na mwonekano mzuri na wa kuvutia.
Uzito:
– 120mg (Saizi ya kati)
Matumizi:
– Kung’arisha viatu vya ngozi (nyeusi, kahawia n.k.)
– Inafaa pia kwa mikanda, pochi na bidhaa nyingine za ngozi
– Hurejesha rangi na kung’ara kwa muda mrefu
Sifa kuu:
– Hutoa kung’ara wa haraka na wa kudumu
– Hulainisha ngozi na kuzuia kupasuka
– Rahisi kupaka na kuenea vizuri
– Hutoa mwonekano mpya wa bidhaa za ngozi
Namna ya kutumia:
– Safisha vumbi au uchafu kwenye kiatu
– Paka kiasi kidogo cha Shine Polish Jelly kwa kitambaa au brashi
– Sugua taratibu hadi kiatu kianze kung’ara
– Acha kidogo kisha polish kwa kitambaa kikavu
Tahadhari:
– Hifadhi sehemu kavu na yenye hewa
– Epuka kugusa macho au kumeza
– Weka mbali na watoto
FREE Delivery
Delivery From NONERIA PRODUCTS - Select location